31 Januari 2013 - 20:30

Waziri Mkuu wa Israel mara nyingine tena Holocaust kua sababu ya kudhihirisha hofu yake kunakoJamuhuri ya Iran, Akieleza kua Iran haichoki hadi ipate bomu la nyuklia.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Benyamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel aeleza ulazima wa kupambana na Iran isijetokea Holocaust, Na Iran haitochoka hadi ipate bomu la nyuklia.

Waziri Mkuu wa Israel katika mkutano wake wa wiki  alisema: Tuko la Holocaust limekua sasa mazungumzo ya nchi kubwa dunia na kupinga tukio hilo na si kikundi au nchi moja yapinga hilo, Iran ni miongoni mwa nchi hizo zapinga tukio la Holocaust na kujiandaa na Holocaust nyengine.

Katika maongezi yake kaonyesha tena hofu ya Israel kwa Iran na kueleza kua kua Iran haichoki hadi ipate bomu la nyuklia na ni lazima kudhibiti na kuzuiya suala hili.

Netanyahu na wenzie Mayahudi waitakidi kua Mayahudi na Mazayuni wapo katika kuangamizwa na ni wajibu kwa kila mmoja kujihami.